Misingi ya Utaalamu wa Mauzo na Huduma kwa Wateja
About Course
Kozi ya wiki 4 ya kuwajenga wauzaji wa biashara kuwa wataalamu wenye heshima, nidhamu, na uwezo wa kuongeza mauzo.
Course Content
Wiki ya 1: Msingi wa utaalamu Kazini (Identity & Discipline)
-
Utangulizi: Nafasi ya muuzaji katika biashara
-
Heshima kwa kazi na biashara unayoihudumia
-
Nidhamu ya Muda na Kuwajibika Kazini
-
Muonekano wa Kitaalamu na Mavazi ya Kazi
-
Lugha ya Heshima na Mawasiliano Kazini
-
Uwajibikaji na uaminifu kazini
-
Msingi wa Utaalamu Kazini
