Kozi ya Hesabu za Biashara: Usimamizi wa Kitaalamu kwa wafanyabiashara wadogo, wa kati na wakubwa Tanzania

Categories: Mahesabu ya Biashara
Wishlist Share
Share Course
Page Link
Share On Social Media

About Course

Kozi ya Hesabu za Biashara ni kozi ya kina iliyoundwa kwa ajili ya wafanyabiashara wanaotaka kubobea katika usimamizi wa biashara kwa utaalamu, si kwa kubahatisha.

Show More

Course Content

WIKI 1: Misingi ya Hesabu za Biashara Lengo:
Lengo: Kuelewa lugha ya fedha Matokeo: 👉 Mwanafunzi anaona biashara yake kwa namba kwa mara ya kwanza

  • Tofauti kati ya mauzo, mapato na faida
  • Gharama za moja kwa moja vs gharama zisizo za moja kwa moja
  • COGS (gharama halisi ya bidhaa)
  • Kuelewa cash flow ya biashara
  • Makosa ya kawaida ya hesabu za biashara
  • Zoezi: Kuvunja biashara yako kwa namba

WIKI 2: Faida – Gross vs Net
Lengo: Kujua biashara inazalisha nini kweli Matokeo: 👉 Mwanafunzi anaweza kujua kama anapata faida au anajidanganya

WIKI 3: Mfumo wa Bei za Kitaaluma
Lengo: Kuweka bei kwa hesabu, si hisia Matokeo: 👉 Mwanafunzi ana mfumo wa bei unaorudiwa

WIKI 4: Usimamizi wa Stock na Inventory
Lengo: Kuzuia upotevu wa bidhaa na pesa Matokeo: 👉 Mwanafunzi ana mfumo wa kudhibiti bidhaa

WIKI 5: Rekodi za Biashara
Lengo: Biashara isiyokuwa kipofu Matokeo: 👉 Biashara inaanza kuendeshwa kwa data

WIKI 6: Mfumo Kamili wa Usimamizi wa Fedha
Lengo: Kuendesha biashara kama taasisi Matokeo: 👉 Mwanafunzi ana blueprint ya biashara imara