Misingi ya Usimamizi wa Biashara kwa waanzilishi/wamiliki.

Uncategorized
Wishlist Share
Share Course
Page Link
Share On Social Media

About Course

Kozi hii ya WIKI 4 imeundwa rasmi kwa wanawake waanzilishi wa biashara wanaotaka kuendesha biashara zao kwa utaalamu na si kwa mazoea.

Utajifunza misingi muhimu ya usimamizi wa fedha, uendeshaji wa kila siku, huduma kwa wateja na mifumo ya ukuaji wa biashara kwa mtazamo wa kitaalamu na kimkakati.

Kupitia mafunzo ya vitendo, mifano halisi na mwongozo wa hatua kwa hatua utatoka na mfumo unaotekelezeka mara moja katika biashara yako. Yote haya ili kuongeza faida, kuboresha ufanisi na kujenga biashara imara inayokua kwa uhakika.

Hii kozi si ya motisha. Ni kozi ya misingi, mfumo na matokeo.  

Course Content

Utangulizi:

  • Karibu Biashara School

Wiki ya 1: Misingi ya Biashara

Wiki ya 2: Pesa na Bei

Wiki ya 3: Mauzo na Wateja

Wiki ya 4: Ukuaji wa Biashara