Kozi ya Hesabu za Biashara: Usimamizi wa Kitaalamu kwa wafanyabiashara wadogo, wa kati na wakubwa Tanzania
Kozi ya Hesabu za Biashara ni kozi ya kina iliyoundwa kwa ajili ya wafanyabiashara wanaotaka kubobea katika usimamizi wa biashara kwa utaalamu, si kwa kubahatisha. Kozi hii inakufundisha mifumo halisi ya hesabu za biashara zinazotumiwa na biashara imara kama kuhesabu COGS, gross profit, net profit, kuweka bei kwa asilimia sahihi, kusimamia stock, na kujenga rekodi […]

