Biashara bila Misingi=Bahati nasibu

Pata elimu rasmi ya Masoko, Fedha, Mauzo na Huduma kwa Wateja ili biashara yako izae faida maradufu!

Top Categories

Fungua Uwezo wa Biashara Yako

Kozi zetu zinakusaidia kujenga ujasiri, kuongeza tija, na kukuza faida ya biashara yako.

Kiswahili

Elimu ya biashara inayofikika kwa Kiswahili, iliyoundwa kukupa uelewa wa kina bila maneno magumu

Online

Maarifa ya vitendo yanayokusaidia kufanya maamuzi bora na kuona matokeo halisi kwenye biashara yako

Jumuiya

Jiunge na jamii ya wanawake wajasiriamali wanaosaidiana, kujifunza pamoja, na kukua kwa ujasiri

Soma kwa kasi yako

Kozi mahsusi kwa wanawake wajasiriamali

Biashara School,

Jenga biashara imara kupitia elimu bora

Wanawake wengi wajasiriamali hukwama kwa kukosa elimu bora ya biashara kwa lugha wanayoielewa. Biashara School inakupa kozi za biashara kwa Kiswahili zilizoundwa kukusaidia kukua haraka. Pata ujuzi, jenga ujasiri, na endesha biashara yenye faida ukiwa ndani ya jamii inayokuinua. Acha mkanganyiko — anza kuona matokeo halisi leo.

Kuanza masomo ni rahisi,

Hatua 3 za kuisajili

Anza safari ya masomo yatayokufanya kuwa mwanzilishi bora wa biashara yako.

Jifunze zaidi kupitia Kozi ya Hesabu za Biashara Tanzania inayokusaidia kudhibiti fedha, stock na faida kwa mfumo wa kitaalamu.

Chagua kozi

Chagua kozi itakayokuinua na kuleta mabadiliko sahihi kwenye biashara yako.

Jisajili WhatsApp

Wasiliana nasi kwa urahisi kupitia WhatsApp kukamilisha usajili..

Lipia Kozi

Kamilisha malipo na uanze mafunzo mara moja kwenye Website ya Biashara school.

Makala

Mirejesho

Matokeo Halisi kutoka kwa Wanafunzi Wetu

0
Rated 5 out of 5
194 Ratings
Course Reviews
Biashara school
"Nilikuwa naogopa hesabu na bei. Kozi hii imenifundisha kwa lugha rahisi, bila kunichanganya. Sasa najua ninachouza, kwa nini, na kwa faida gani"
Rated 5 out of 5
Asha K.
Biashara school
"Nilipoanza kozi wiki ya kwanza tu niligundua kuwa bei zangu zilikuwa haziendani kabisa na gharama. Baada ya kumaliza nilianza upya na sasa hivi naona faida!"
Rated 5 out of 5
Caroline M.
Kozi ya wiki 4 ya kuwajenga wauzaji wa biashara kuwa wataalamu wenye heshima, nidhamu, na uwezo wa kuongeza mauzo.
“Kozi ya wauzaji imeniheshimisha sana!. Wateja wameanza kuniambia jinsi wasichana wangu wana customer care nzuri.”
Rated 5 out of 5
Mariam S.
“Tangu nimeanza kujaza jedwali la mauzo na manunuzi nimeona mabadiliko makubwa sana. Bila kufanya kozi ningeendelea tu kupoteza hela!.”
Sakina M
Rated 5 out of 5